• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya China ya Suning kununua asilimia 70 ya Inter Milan

    (GMT+08:00) 2016-06-07 10:07:20

    Kampuni kubwa zaidi ya uundaji wa vifaa vya elektoniki ya China Suning, itanunua asilimia 70 ya umiliki wa klabu ya soka ya Italia, Inter Milan.

    Suning italipa dola milioni 360, ilihali tajiri mkubwa nchini Indonesia Erick Thohir atasalia na asilimia zake 30.

    Mwenyekiti wa Suning, Zhang Jindong ameutaja ununuzi huo kama hatua kubwa kwa soka nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako