• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Vyakula vya kukinga na usingizi

  (GMT+08:00) 2016-06-07 12:54:41

  Siku za kufanya kazi zinaonekana hakuna mipaka! Je, unaona uchovu sasa? Nakushauri ule vyakula vifuatavyo na kukusaidia kupambana na uchovu na usingizi.

  Kwanza, kama tujuavyo ni kahaha, tumia kikombe kimoja cha kahawa, inaweza kuchangamsha ubongo wako;

  Na pili, unaweza kujaribu blueberries ambayo inaweza kuzidisha damu ndani ya ubongo wako;

  Tatu ni chokoleti nyeusi ambayo inaweza kukusaidia kujisikia vizuri; Na pia unaweza kunywa maji yenye limau au mint, zote zinasaidia kukinga na usingizi na uchovu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako