• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mabingwa watetezi Hispania walivyoanza Euro 2016 kwa ushindi

    (GMT+08:00) 2016-06-14 08:54:34

    Mabingwa watetezi Hispania wameitandika jamhuri ya Czech bao 1-0 kwenye michuano ya Euro inayoendelea nchini Ufaransa.

    Bao hilo la pekee lilifungwa na beki Gerrard Pique dakika ya 87.

    Licha ya Hispania kupata ushindi mdogo, katika mchezo huo wa kundi D, walikuwa wanamiliki mpira kwa kwa asilimia 68 na Czech asilimia 32 pekee.

    Kwenye mechi zingine za EURO, Switzerland awali ilijipatia ushindi wake wa pili katika michuano ya bara Ulaya baada ya kuilaza Albania 1-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako