• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ureno na Iceland sare ya 1-1 Euro

    (GMT+08:00) 2016-06-15 09:30:08

    Ureno na Iceland zimetoshana nguvu katika Mchezo uliomalizika kwa Timu hizo kugawana alama kufuatia sare ya bao 1-1, kwenye michuano ya Euro 2016 inayoendelea Ufaransa.

    Ureno ilianza kuzitikisa nyavu za Iceland kwa bao la Luis Nani dakika 31 kipindi cha kwanza, na Ice land wakizawazisha bao hilo kupitia kwa Birkir Bjarson dakika 50 kipindi cha pili.

    Na katika mchezo wa mapema Austria ikicheza na Hungary , Hungary iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa na Adam Szalai na Zoltan Stieber na kuongoza kundi F.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako