• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Njia sahihi ya kuosha nywele

  (GMT+08:00) 2016-06-15 14:56:11

  Je, kama unaosha nywele zako mara nyingi kila siku? Au kutumia shampoo moja kwa moja kwenye kichwa chako? Watu wengi hufanya hivyo, lakini hawajui labda hii inaweza kusababisha nywele zako kuwa kavu na dhaifu.

  1. Usioshe nywele zako mara nyingi, kwani itasababisha nywele kuwa kavu. Bora usioshe kwa zaidi ya mara moja kila siku;

  2. Usitumie shampoo moja kwa moja kwenye nywele zako, njia hiyo itasababisha sehemu fulani ziwe na shampoo kupita kiasi na kwa njia hiyo, itaharibu nywele zako, kwa hivyo, bora kwanza miminina shampoo kwenye mikono yako na kusugua kwenye viganja hadi povu litokee;

  3. Usikwaruze kichwa chako kwa kutumia kucha kwa nguvu, hiyo itaharibu ngozi yako ya kichwani;

  4. Kukausha nywele zako kwa mashine mara moja baada kuosha nywele. Bora uache nywele zako zikauke bila ya kutumia mashine. Na ukihitaji kutumia mashine, usiitumie karibu sana na nywele zako na usiweke joto kali sana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako