• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachezaji wa Albania kutuzwa paspoti za kidiplomasia na pesa

    (GMT+08:00) 2016-06-22 08:20:26

    Baada ya kuishinda Romania bao moja kwa nunge kwenye ubingwa wa Ulaya, wanakandanda wa Albania wanatarajia kupata msaada mkubwa wa serikali kifedha na pia kutambuliwa kitaifa.

    Waziri mkuu wa Albania Edi Rama amasema wachezaji hao wamekuwa mabalozi bora wan chi hiyo na wanastahili tuzo za pesa na paspoti za kidiplomasia.

    Rama amaesema wachezaji hao watapewa kitita cha dola milioni 1.13 na shirikisho la kandanda nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako