• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Argentina na Chile kukutana fainali Copa America

    (GMT+08:00) 2016-06-24 08:32:55

    Katika nusu Fainali ya michuano ya Copa America iliyochezwa jana Uwanja wa Soldier Field mjini Chicago, Chile imeifunga Colombia kwa mabao 2-0 na itakutana na Argentina kwenye mchezo wa fainali June 27/2016 kwenye uwanja wa MetLife mchezo wa fainali unaozikutanisha tena timu hizo baada ya mwaka mmoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako