• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Dar es Salaam kufunguliwa

    (GMT+08:00) 2016-06-24 08:58:01

    Makampuni zaidi ya 650 kutoka nchi mbalimbali duniani yamethibitisha kushiriki kwenye maonyesho ya 40 ya kimataifa ya biashara mjini Dar es Salaam, yatakayofanyika Jumanne wiki ijayo.

    Kaimu mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya maendeleo ya biashara ya Tanzania Bw Edwin Rutageruka alisema, maonyesho hayo yanalenga kujenga biashara endelevu kwa kuunganisha wazalishaji wadogo wadogo na wakubwa. Amewaambia washiriki wa ndani kutumia fursa hiyo kupata ushirikiano wa kibiashara wa muda mrefu na kuwasiliana na wenzi kutoka nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako