• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya;Huduma ya fedha kwenye simu za rununu Kenya yafikia bilioni 840

    (GMT+08:00) 2016-06-24 17:24:35

    Wakenya wamefikisha takriban trilioni moja katika huduma za fedha kwenye simu za mkononi.

    Kulingana na takwimu mpya kutoka halmashauri ya mawasiliano Kenya,thamani ya huduma ya fedha mwaka huu ni bilioni 840 .

    Hii imechangiwa na huduma ya Mpesa ya kutumana kupokea fedha kupitia kwa simu za rununu .

    Asilimia 13 ya pato la jumla la Kenya lilipitia kwa mpesa.

    Waziri wa fedha Henry Rotich amesema huduma za fedha za simu zimechangia ukuwaji wa uchumi kwa kurahisisha biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako