• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Russia wakutana Beijing

    (GMT+08:00) 2016-06-25 21:09:36

    Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing amekutana na mwenzake wa Russia Vladimir Putin ambaye yuko ziarani nchini China.

    Viongozi hao wamekubaliana kushikilia moyo wa ushirikiano wa kimkakati na wazo la kuenzi urafiki kati ya nchi hizo mbili. Pia wamesisitiza haja ya kuungana mikono zaidi, kuongeza uaminifu wa kisiasa na kimkakati, na kuimarisha kithabiti uhusiano wa wenzi wa kimkakati kati ya China na Russia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako