• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ubelgiji waifunga Hungary magoli 4-0 Euro 2016

    (GMT+08:00) 2016-06-27 09:34:21

    Hatua ya 16 bora ya michuano ya Euro 2016 ambayo bado inaendelea na tayari ya michezo sita imechezwa na kusalia michezo miwili pekee itakayochezwa leo (Juni 27) ili kukamilisha idadi ya timu nane zilizofuzu robo fainali ya Euro 2016.

    Jana zilichezwa mechi tatu ambapo Ufaransa iliiadhibu Ireland, Ujerumani ikaioa Slovakia wakati Ubelgiji wakifanikiwa kuifunga Hungary kwa jumla ya magoli 4-0.

    Sasa Ubelgij watakutana na Wales kwenye michuano ya nane bora kwenye uwanja wa Lile Ijumaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako