• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya Orbital ATK yafanya majaribio ya kuwasha mtambo wa kusukuma juu wa roketi mpya ya SRB

    (GMT+08:00) 2016-06-29 10:57:30

    Kampuni ya Orbital ATK ya Marekani imefanikiwa kufanya majaribio ya kuwasha mtambo wa kusukuma juu wa roketi mpya ya SRB huko Promontory katika jimbo la Utah. Mtambo huo utatumiwa katika mfumo wa kurushia roketi wa Shirika la safari za anga ya juu la Marekani NASA . Mfumo huo ni hatua ya kwanza ya mpango wa NASA wa kwenda sayari ya Mars.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako