• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Ureno aikaribisha mabingwa

    (GMT+08:00) 2016-07-12 10:03:56

    Mabingwa wa euro mwaka 2016 timu ya taifa ya Ureno wamerejea nyumbani na kukaribishwa an rais wa nchi hiyo Marcelo Rebelo de Sousa.

    Maelfu ya mashabiki wa timu hiyo pia walikusanyika katika uwanja wa ndege mbele ya kasri ya Rais,na katika mitaa ya mji mkuu Lisbon kusheherekea ushindi huo wa kwanza kwa nchi hiyo.

    Nahodha wa timu hiyo Cristiano Ronaldo alilipeleka kombe hilo kwenye kasri ya Rais kabla ya kuanza kulitembeza katika mitaa ya jiji la Lisbon wakiwa katika gari la wazi.

    Wametajwa kama mashujaa wa nchi hiyo.

    Mjini Paris Francois Hollande alikutana na timu ya Ufaransa iliyoshika nafasi ya pili kwenye kasri yake ya Elysee.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako