• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Samuel Eto'o ahirisha mechi ya Uturuki kufuatia jaribio la mapinduzi

    (GMT+08:00) 2016-07-18 09:26:18

    Mchezaji nyota wa Cameroon Samuel Eto'o ametangaza kwamba mechi iliokusudiwa kufanyika wikendi nchini Uturuki kwa ajili ya kukusanya fedha za wakfu wake imehahirishwa baada ya jaribio la mapinduzi ya serikali nchini humo ambalo halikufanikiwa.

    Tayari kulikuwa na wachezaji maarufu waliokuwa wamefika mjini Antalya kwa mechi hiyo akiwemo Kanu Nwankwo na Jay-Jay Okocha kutoka Nigeria, Stephen Appiah wa Ghana Michael Essien na Kolo Toure kutoka Ivory Coast.

    Wakfu huo wa Samuel Eto'o ulianzishwa miaka 10 iliyopita ukiwa na lengo la kulinda watoto na vijana pamoja na kutoka misaada ya dharura.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako