• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Azam FC yaitandika Ashanti 2-0

    (GMT+08:00) 2016-07-19 09:44:50

    Kocha mpya wa Azam FC, Mspaniola Zeben Hernandez Rodriguez ameanza kwa ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Ashanti United ya Daraja la Kwanza Uwanja wa Azam Complex.

    Kiungo Mudathir Yahya alianza kuipatia timu yake bao la kwanza katika dakika ya 69 kwa shuti la kiufundi kufuatia pasi ya kiungo Frank Domayo.

    Abdallah Masoud 'Cabaye' akawafungia bao la pili dakika ya 81 mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati kwa shuti zuri la umbali wa mita 30.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako