• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (18 Julai-22 Julai)

    (GMT+08:00) 2016-07-22 18:16:27

    Serikali ya Nigeria yafanya mazungumzo na kundi la upinzani la Niger Delta

    Serikali ya Nigeria imefanya mazungumzo na kundi la wapiganaji la Niger Delta kupitia makampuni ya mafuta na idara za utekelezaji wa sheria ili kutatufa njia ya kudumu kuondoa hali ya wasiwasi kwenye sehemu hiyo.

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema mjini Abuja kuwa serikali ya Nigeria inapitia waraka wa msameha uliotungwa na serikali iliyopita, kwa lengo la kutelekeza ahadi ambazo bado hazijatekelezwa.

    Wiki mbili zilizopita, kundi kuu la wapiganaji la Niger Delta MEND, lilisema limeunda tume ya amani kushughulikia uhusiano kati yake na serikali, na kutoa masharti ya mwisho kwa serikali kufanya mazungumzo baada ya wiki mbili


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako