• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (18 Julai-22 Julai)

    (GMT+08:00) 2016-07-22 18:16:27

    Theresa May afanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi

    Waziri mkuu mpya wa uingereza Theresa May wiki hii amefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu kuchaguliwa kwa.

    Akiwa nchini Ufaransa, May alimwakikishia rais Rais Francois Hollande kuwa Ushirikiano katika suala la ujasusi na usalama kati ya nchi hizo mbili utaendelea kuwepo daima, hata baada ya Uingereza kuondoka katika Umoja wa Ulaya.

    Pia wamekubaliana kuwa Uingereza inahitaji muda kuandaa mazungumzo ya kujiondoa Umoja wa Ulaya.

    Aidha alikuwa na ujumbe sawa na huo kwa chansela wa Ujerumani Angela Merkel ambako alianzia ziara yake.


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako