• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yapaa hadi nafasi ya 42 kwa raga duniani

    (GMT+08:00) 2016-07-26 15:06:51

    Uganda imepaa nafasi nane katika viwango vipya vya raga duniani, ambavyo vimetangazwa Jumatatu.

    Cranes, ambayo itakabana koo na Simba XV ya Kenya mnamo Julai 30 jijini Nairobi, imeruka Trinidad & Tobago, Malta, Colombia, Guyana, Lithuania, Visiwa vya Cook, Senegal na Madagascar.

    Afrika Kusini, nayo imetua katika nafasi ya 42 duniani baada ya kuaibisha Zimbabwe Sables 34-27 katika Kombe la Afrika daraja 1A jijini Harare mnamo Julai 23.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako