• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hifadhi ya madini ya dhahabu nchini China yachukua nafasi ya pili duniani kwa miaka 12 mfululizo

    (GMT+08:00) 2016-07-27 18:21:58
    Shirikisho la madini ya dhahabu la China imesema, hifadhi ya madini hayo nchini China imefikia tani elfu 11.56 hadi mwaka jana, na kuchukua nafasi ya pili duniani kwa miaka 12 mfululizo, ikiwa nyuma ya Afrika Kusini.

    Taarifa iliyotolewa na Shirikisho hilo imesema, hadi sasa hifadhi ya jumla ya madini ya dhahabu kote duniani imefikia tani laki moja, ambayo yako katika nchi zaidi ya kumi, zikiwemo Afrika Kusini, China, Russia, Australia, Indonesia, na Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako