• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Sidian imetenga SH bilioni 2 kwa ajili ya mikopo kwa vituo vidogo vya afya

    (GMT+08:00) 2016-07-27 19:59:48
    Benki ya Sidian imetenga SH bilioni 2 kuweza kutoa mikopo kwa vituo vya huduma ya afya.

    Benki ambayo inayomilikiwa na Centum Group imeshirikiana na Medical credit Fund katika mpango ambao unahusisha upenaji wa mikopo ya kati ya sh 100,000 na sh milioni 250 kwa huduma za afya 2,500 za kibinafsi.

    Mkurungezi mtendaji wa benki hiyo Titus Karanja anasema mpango mikopo utasaidia kushughulikia changamoto katika vituo vingi vya afya, taasisi za mafunzo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako