• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la mabomu mjini Qamishli Syria yafikia 52

    (GMT+08:00) 2016-07-28 09:56:14

    Idadi ya vifo na majeruhi katika shambulizi la kujitoa muhanga lililotokea jana mjini Qamishli, Syria imeongezeka. Hadi sasa watu 52 wameuawa na wengine 170 wamejeruhiwa katika shambulizi hilo lililofanywa na mfuasi wa kundi la IS.

    Juhudi za kuondoa miili ya wahanga kutoka eneo la tukio bado zinaendelea.

    Mji wa Qamishli umekuwa ni shabaha ya mashambulizi ya mabomu ya kundi la IS mara nyingi kutokana na uhasama dhidi ya wanajeshi wa Kikurd ambao wanadhibiti mji huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako