• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi wa Tanzania ahukumiwa kifungo cha miaka 15 kutokana na kumwua mwandishi wa habari

    (GMT+08:00) 2016-07-28 10:01:24

    Mahakama kuu ya Tanzania katika mkoa wa Iringa imemhukumu kifungo cha miaka 15 polisi mmoja kutokana na kumwua mwandishi wa habari.

    Polisi huyo Pificious Clephase amekutwa na kosa la kumwua mwandishi wa habari wa televisheni Daudi Mwangosi mwaka 2012.

    Bw Mwangosi alikuwa mwandishi wa habari wa Televisheni ya Channel Ten na pia ni mwenyekiti wa klabu ya mwanahabari wa Iringa. Aliuawa kwenye purukushani ya mvutano uliosababishwa na kukamatwa kwa mwandishi mwingine wa habari iliyotokea katika mkutano wa kisiasa wa chama cha upinzani kijijini Nyololo, Iringa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako