• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi waliomuua kijana mwenye asili ya Afrika hawajaadhibiwa

    (GMT+08:00) 2016-07-28 10:48:03

    Kesi kuhusu kifo cha kijana wa Marekani mwenye asili ya Afrika Freddie Gray imesimamishwa. Kijana huyo alifariki akiwa kuzuizini wiki moja baada ya kukamatwa mwaka jana. Mahakama ya jimbo la Maryland imetangaza kuwaondolea mashataka polisi 3 kufuatia wengine watatu, kwa hiyo hakuna polisi hata mmoja kati ya 6 wanaohusika na kesi hiyo atakayeadhibiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako