• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisi ya kupambana na dawa za kulevya ya Umoja wa Mataifa yajitahidi kuzuia fedha za kundi la Islamic State

    (GMT+08:00) 2016-07-28 10:48:28

    Ofisi ya kupambana na dawa za kulevya ya Umoja wa Mataifa imesema itafanya juhudi za kuzuia fedha kuwafikia wapiganaji wa kigeni wa kundi la IS kwa kupitia mradi mmoja mpya unaolenga kukata vyanzo vya pesa vya kundi hilo. Hayo yamesemwa na mkurugenzi mkuu wa ofisi hiyo Bw. Yury Fedotov kwenye mkutano wa usalama huko St. Petersburg Russia. Fedotov amesema ugaidi unatishia zaidi amani na usalama wa dunia kuliko wakati wowote wa zamani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako