• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya umeamua kutozitoza faini Hispania na Ureno kwa matumizi ya kupita kiasi

    (GMT+08:00) 2016-07-28 10:48:52

    Naibu mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Ulaya Bw. Valdis Dombrovskis amesema Umoja wa Ulaya hautazichukulia hatua za kifedha Hispania na Ureno kutokana na kuwa na nakisi kubwa kwenye bajeti zao, lakini utatoa nafasi kwa nchi hizo kufanya marekebisho. Uamuzi huo umefikiwa kwa kuzingatia juhudi za nchi hizo mbili na changamoto kubwa za kiuchumi zinazozikabili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako