• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kocha wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ataja kikosi kitakachocheza na Nigeria

    (GMT+08:00) 2016-07-28 13:58:10
    Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa amekitaja kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini kujiandaa na pambano la kukamilisha ratiba ya mbio za kuwania kufuzu Kombe la mataifa ya Afrika dhidi ya Nigeria. Mkwasa ametoa nafasi kubwa kwa vijana katika kikosi hicho huku kiungo wa Mtibwa Sugar Ibrahim Jeba akiitwa kwa mara ya kwanza. Joseph Mahundi wa Mbeya City na Jamal Mnyate aliyehamia Simba pia wameitwa kwa mara ya kwanza.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako