• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Lewis Hamilton atwaa ushindi wa German Grand Prix

    (GMT+08:00) 2016-08-01 08:15:24

    Mwendesha langalanga Lewis Hamilton alizimiliki mbio za German Grand Prix akitwaa ushindi kwa pointi 19 na kunshinda mwenzake wa timu ya Mercedes Nico Rosberg.

    Hamilton alianza mapema kuongoza mbio hizo huku Rosberg akiwa nafasi ya nne ambako alisalia mpaka mwisho.

    Rosberg pia alipatwa na pigo baada ya kuadhibiwa kwa kumsukuma Max Verstappen wa Red Bull nje ya uwanja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako