• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rubin Kazan ya Russia yamsaini kiungo wa kati wa Barcelona Alex Song

    (GMT+08:00) 2016-08-02 09:39:08

    Klabu ya Rubin Kazan ya Russia imemsaini kiungo wa kati wa Barcelona Alex Song lakini ni uhamisho usiokuwa na ada yoyote.

    Alex Song mwenye umri wa miaka 28 ambaye alikuwa mchezaji wa Cameroon alikuwa anatarajiwa kujiunga na Rubin kwa mkopo lakini amesaini nao mkataba wa kudumu na hivyo kutamatisha mkataba wake na Barcelona.

    Song, ambaye aliondoka Arsenal kusaini mkataba wa miaka 5 na Barcelona mwaka wa 2012, alishiriki mechi 65 za Barca na kufunga bao moja tu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako