• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tamasha la Vijana wa China na Afrika laanza Guangzhou

    (GMT+08:00) 2016-08-02 16:45:33

    Shughuli ya "Tamasha la Vijana wa China na Afrika kwa Mwaka 2016" imeanza mjini Guangzhou, ikiwa ni sehemu ya mipango ya kuhimiza kutembeleana kati ya vijana wa pande hizo mbili.

    Katika siku nne zijazo, vijana hao watashiriki kwenye kongamalo la ujasiriamali, kujadiliana kuhusu huduma za kujitolea, kutembelea makampuni ya teknolojia ya juu na kutazama maonyesho ya sanaa na kungfu. Vijana 200 kutoka sekta mbalimbali wa nchi 18 za Afrika wamealikwa kushiriki kwenye shughuli hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako