• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kevin Prince Boateng asajiliwa na Klabu ya Las Palmas

    (GMT+08:00) 2016-08-03 09:10:21

    Kiungo wa kimataifa wa Ghana Kevin Prince Boateng Amesajiliwa na Klabu ya Las Palmas ya nchini Hispania kwa mkataba wa Mwaka Mmoja

    Nao Villarreal wamemsajili kiungo Roberto Soriano raia wa Italia kutoka klabu ya Sampdoria kwa mkataba wa miaka mitano.

    Everton nao wamezidi kuimarisha kikosi chao chini ya kocha mpya Ronald Koeman, baada ya kumsajili kiungo Idrissa Gueye kwa mkataba wa miaka nne.

    Ne beki wa kushoto wa Chelsean Abdull Rahman Baba amejiunga na Schalke 04 kwa mkopo wa muda mrefu mpaka mwisho wa msimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako