• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndege za kivita za China zafanya doria bahari ya Kusini ya China

    (GMT+08:00) 2016-08-06 19:27:04

    Ndege za kivita za jeshi la China aina ya H-6K na Su-30 zimekamilisha doria katika anga ya eneo la visiwa vya Nansha na Huangyan kwenye bahari ya Kusini ya China.

    Kanali Shen Jinke wa jeshi la anga la China amesema doria hiyo ni sehemu ya mazoezi halisi ya kupambana kwa ajili ya kuinua uwezo wa jeshi hilo kujibu vitisho vya kiusalama.

    Amesema ndege za aina kadhaa zikiwemo ndege za kudondosha mabomu, za kivita, za kutoa tahadhari, ndege za upelelezi na za kuongeza mafuta angani, zimeshiriki kwenye zoezi hilo la Jumamosi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako