• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Liverpool yaitandika Barcelona mabao 4-0

    (GMT+08:00) 2016-08-08 09:49:53

    Liverpool imeitandika Barcelona mabao 4-0 kwenye michuano ya ubingwa wa kimataifa ICC iliochezewa uwanja wa Wembley mjini London.

    Sadio Mane ndiye alianza kutikisa nyavu kunako dakika ya 15 akifuatiwa na Javier Mascherano na Divock Origi's ambao walifanya mambo kuwa 3-0.

    Hatimaye Marko Grujic aligonga msumari wa mwisho uliowalaza Barca na kichapo hicho cha mabao manne bila jawabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako