• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kongamano la diplomasia ya umma kati ya China na Afrika lafanyika nchini Tanzania

  (GMT+08:00) 2016-08-10 10:22:30

  Kongamano la diplomaisia ya umma kati ya China na Afrika lilifanyika jana jijini Dar es Salaam, Tanzania.

  Kongamano hilo linalenga kutekeleza uamuzi husika uliofikiwa katika mkutano wa kilele wa Johannesburg wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika, na kuhimiza ushirikiano kati ya pande hizo mbili kuendelea kwa kina na upana.

  Akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano huo, Mkurugenzi wa shirikisho la diplomasia ya umma la China Bw. Li Zhaoxing amesema China na Afrika ni nguvu muhimu ya kuhimiza haki na usawa duniani.

  Akiongea kwenye kongamano hilo Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo wa Tanzania Nape Nnauye amesisitiza uhumimu wa vyombo vya habari katika kuongeza maelewano kati ya watu wa nchi za Afrika na China, kutangaza utamaduni wa kila upande na kulinda utulivu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako