• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michael Phelps ajichukulia medali ya 21 kwenye michezo ya Olimpiki

    (GMT+08:00) 2016-08-11 08:27:08

    Muogeleaji wa Marekani, Michael Phelps, ameweka rekodi ya kushinda medali ya dhahabu ya 21, kwenye michezo ya Olimpiki, huko Rio, Brazil usiku wa kuamkia jana. Licha ya kushindwa kwenye mashindano ya London, 2012, Michael Phelps hakukata tamaa, akaamua kujiunga tena kwenye Olimpiki ya Rio, na kutwaa medali hiyo ya 21, ya dhahabu mtindo wa kipepeo. Akiwa na umri wa miaka 31, Phelps, amepata medali hiyo kwa kumshinda bingwa mtetezi Chad le Clos, katika mita 200 mtindo wa kipepeo, kabla ya kuisaidia Marekani kushinda mita 4x200, mtindo huru.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako