• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Treni ya mwendo kasi iliyotengenezwa kwa vigezo vya kichina kwa mara ya kwanza yasafiri ikiwa na abiria

    (GMT+08:00) 2016-08-15 19:14:35

    Treni ya mwendo kasi iliyosanifiwa na kutengenezwa na China kwa kujitegemea leo kwa mara ya kwanza imesafiri ikiwa na abiria kutoka mji wa Dalian na kuelekea mjini Shenyang, kaskazini mwa China.

    Utengenezaji wake uliofanywa kwa vigezo vya kichina ambavyo viko juu kuliko vile vya Ulaya na Japan ulimalizika mwezi Juni mwaka jana, na kasi ya treni hiyo ni kilomita 350 kwa saa. China ina hakimiliki kamili ya treni hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako