• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chelsea yailaza west ham 2-1

    (GMT+08:00) 2016-08-16 09:58:44

    Chelsea imeanza vyema harakati zake za ligi kuu kwa kuifunga West Ham mabao 2-1 katika mechi iliochezewa uwanja wa Stamford Bridge,.

    Eden Hazard ndiye aliyeanza kufungua bahati ya Chealsea baada ya kufunga mapema kipindi cha pili huku naye James Collins akisawazisha wakati mechi ikisalia na dakika 13.

    Japo ilionekana kwamba mchezo utaishia kuwa sare ya 1-1 lakini Diego Costa alizamisha ndoto ya West Ham alipopachika wavuni bao la pili dakika ya 89.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako