• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yarusha satelaiti ya kwanza ya mawasiliano ya Quantum

    (GMT+08:00) 2016-08-16 18:49:03

    Leo China imerusha kwa mafanikio satelaiti ya kwanza duniani ya quantum kwa roketi ya March-2D kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan, kaskazini mwa China.

    Satelaiti hiyo imesanifiwa kwa ajili ya kuanzisha mawasiliano ya quantum yenye ngazi ya juu ya usalama, kwa kutuma vidokezo vilivyo salama kutoka angani hadi ardhini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako