• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuendesha shughuli nyingi za kidiplomasia ya pande nyingi

    (GMT+08:00) 2016-08-26 10:14:44

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana hapa Beijing amesema, China itatoa mchango wa kiujenzi katika kuhimiza ushirikiano wa kikanda na kuboresha mfumo wa usimamizi wa dunia.

    China itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa kundi la nchi 20 G20 mwezi ujao, ambapo itashiriki shughuli mbalimbali za pande nyingi za kikanda na kimataifa.

    Wang Yi amesema kuwa, mkutano wa G20 ambao maandalizi yake yamekamilika kwa sasa, unatarajiwa kuhimiza ongezeko la uchumi wa dunia na kuchangia kuboresha usimamizi wa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako