• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Twiga Stars kushiriki michuano Afrika Mashariki

    (GMT+08:00) 2016-08-31 10:05:08

    Kikosi cha timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars kinataraji kushiriki michuano ya ubingwa wa wanawake kwa mataifa ya Afrika Mashariki na Kati inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 11 hadi 20 mwaka huu.

    Kikosi cha Twiga Stars kinatarajiwa kuingia kambini hapo Septemba 02 mwaka huu kwa ajili ya kujiandaa na michuano itakayofanyika mjini Jinja nchini Uganda.

    Kwenye Makundi na ratiba ya michuano hiyo ni kwamba

    Kundi A: inajumuisha Uganda, Kenya, Burundi & Zanzibar nalo

    Kundi B: ni Ethiopia, Tanzania & Rwanda

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako