• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa G20 watarajia kutoa mchango kwenye utekelezaji wa lengo la maendeleo endelevu duniani

    (GMT+08:00) 2016-09-01 19:36:29

    Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya uchumi na jamii Bw. Wu Hongbo amesema mkutano wa kilele wa kundi la G20 utakaofanyika hivi karibuni mjini Hangzhou utazisaidia sana nchi mbalimbali kutekeleza lengo la kupata maendeleo endelevu.

    Bw. Wu amesema, ikiwa ni mwenyekiti wa zamu wa kundi la G20, China inazingatia sana suala la maendeleo endelevu, na lengo hilo litarahisishwa kama nchi wanachama wa G20 ambao ni makundi makubwa ya kiuchumi duniani yataongoza kuchukua hatua.

    Bw. Wu pia amesema, mada muhimu ya mkutano huo ni ongezeko, na kwamba viongozi watakaoshiriki kwenye mkutano huo watajadiliana kuhusu jinsi ya kuhimiza ongekezo kwa njia ya maendeleo endelevu wakati hali ya uchumi haikuwa nzuri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako