• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Agusti 27-Septemba 2)

    (GMT+08:00) 2016-09-02 18:54:21

    Serikali ya Russia yafuta marufuku ya kwenda Uturuki kwa ndege za kukodi

    Tovuti ya serikali ya Russia wiki hii imetangaza azimio la serikali kuhusu kufuta marufuku ya kwenda Uturuki kwa ndege za kukodi.

    Kabla ya hapo shirika la utalii la Russia lilipeleka watalii nchini Uturuki kwa ndege za kukodi, hivyo kufutwa kwa amri hiyo kutasaidia kufufua sekta ya utalii nchini Uturuki.

    Waziri mkuu wa Russia imelitaka shirika la ndege na kampuni za ndege za Russia zichukue hatua ili kuhakikisha usalama wa ndege zinazokwenda Uturuki.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako