• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Agusti 27-Septemba 2)

    (GMT+08:00) 2016-09-02 18:54:21

    Msemaji wa IS auawa nchini Syria

    Mmoja wa viongozi wakuu wa kundi la wapiganaji la Islamic State ameuwawa nchini Syria.

    Shirika la habari la Amaq linaripoti kwamba Abu Muhammad al-Adnani aliuwawa kwenye mji wa Aleppo .

    Marekani inasema ilimlenga Adnani kwenye shambilizi lililofanywa karibu na mji wa al Bab wakati akisimamia mapambano mkoani Aleppo.

    Hata hivyo wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema haijathibitisha habari hiyo.

    Al-Adnani ni mmoja wa makamanda wakuu wa IS, na kama kweli ameuawa, atakuwa kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa kundi hilo kuuawa.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako