• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Refa wa kike Hispania aamuru shabiki atoke uwanjani kwa kutoa lugha ya ubaguzi wa kijinsia

    (GMT+08:00) 2016-09-08 09:45:00
    Refa wa kike katika Ligi daraja la pili ya Catalan Marta Galego aliamua kumtoa shabiki uwanjani kutokana na kutoa lugha ya ubaguzi wa kijinsia dhidi ya yake. Marta Galego alisimamisha mchezo kwa dakika 3 kabla ya kuanza tena kutokana na shabiki kumwambia aende akaoshe vyombo hiyo ni kauli ambayo ilitolewa na shabiki kutokana na kutofurahishwa na maamuzi ya refa huyo, ambapo refa huyo alisimamisha mechi na kuamuru shabiki huyo atolewe nje. Kitendo cha refa huyo aliyekuwa anachezesha mchezo kati ya UE Valls dhidi ya Cambrils UniĆ³ kuamuru shabiki huyo UE Valls atolewe kiliwashangaza wengi na kumpongeza, kwani mara nyingi refa huwa anawaadhibu wachezaji na watu wa benchi la ufundi la timu fulani kwa kutoa kadi na si shabiki kama alivyofanya Marta Galego.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako