• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Septemba 3-Septemba 9)

    (GMT+08:00) 2016-09-09 19:50:28

    Israel yaanza kujenga kizuizi kudhibiti mipaka yake

    Israel imeanza kujenga kizuizi cha chini ya ardhi ambacho kitanyoosha mipaka yake yote na Gaza.

    Maofisa wa Israel wamesema kuwa kizuizi hicho kinalenga kuzuia vikosi vya kipalestina kuchimba mashimo ambayo huwasaidia kutekeleza mashambulizi Israel, kama ilivyokuwa hapo nyuma na ujenzi wake unatazamiwa kukamilika baada ya mwaka mmoja.

    Tayari Gaza imezungukwa na ukuta wa ngome na minara, nyaya na kamera ili kuthibiti ulinzi zaidi. Ambapo ujenzi wake unatazamiwa kukamilika baada ya mwaka mmoja.

    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako