• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Reli ya mwendo kasi nchini China sasa ni zaidi ya kilomita 20,000

    (GMT+08:00) 2016-09-10 18:01:47

    Njia za reli ya mwendo kasi nchini China sasa zimefikia zaidi ya umbali wa kilomita 20,000, ambao ni umbali mrefu zaidi duniani baada ya kuzinduliwa leo kwa reli ya aina hiyo ya kilomita 360 inayounganisha mji wa Zhengzhou katikati mwa China na mji wa Xuzhou ulioko mashariki.

    Njia hiyo mpya ina vituo tisa na treni zinakimbia kwa kasi ya kilomita 300 kwa saa katika kipindi cha mwanzo. Ujenzi wa njia hiyo ulianza Disemba, 2012 na uendeshaji wake wa majaribio ulianza Aprili, 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako