• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maabara ya anga za juu ya China Tiangong-2 iko tayari kurushwa

    (GMT+08:00) 2016-09-12 20:25:04

    Maabara ya anga za juu ya China, Tiangong-2 inatarajiwa kurushwa kati ya Alhamisi, Septemba 15 hadi 20 katika Kituo cha Kurushia Satilaiti ya Jiuquan.

    Hii itakuwa ni maabara halisi ya kwanza ya anga za juu ya China katika mradi wake wa kubeba binadamu katika anga za juu. Tiangong-2 itaingia kwenye njia ya mzunguko iliyo kilomita 393 juu ya sayari ya dunia, ambapo mwezi ujao itaungana na chombo cha anga cha Shenzhou-11 kilichobeba binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako