• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China inakaribia kukamilisha kuwaandikisha askari elfu 8 kwenye kikosi cha dharura cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2016-09-29 20:17:11

    Msemaji wa wizara ya ulinzi ya China Bw. Yang Yujun amesema, China inakaribia kukamilisha mchakato wa kuwaandikisha askari elfu 8 kwenye kikosi cha dharura cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa.

    Amesema tangu mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu kulinda amani kufanyika mwaka jana, jeshi la China limetoa mafunzo kwa walinzi wa amani karibu 500 wanaotoka nchi mbalimbali duniani, na kikosi cha kwanza cha helikopta cha kulinda amani kimejiandaa kuelekea nchi ama sehemu husika kutekeleza jukumu lake. Wakati huo huo China inajadiliana na Umoja wa Afrika kuhusu mpango wa utekelezaji wa kutoa msaada wa bure wa jumla ya dola za kimarekani milioni 100 katika miaka 5 ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako