• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaandaa kongamano la ushirikiano wa usalama wa Asia Pasifiki

    (GMT+08:00) 2016-09-30 11:05:57

    China itakuwa mwenyeji wa kongamano la 7 kuhusu ushirikiano wa usalama kwenye sehemu ya Asia Pacifiki kuanzia tarehe 10 mwezi Oktoba hadi 12 hapa Beijing. Wajumbe kutoka nchi na mashirika zaidi 60 pamoja na taasisi zaidi 100 za ndani na nje watahudhuria kongamano hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako