• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waasi watano wauawa katika operesheni ya kupambana na ugaidi nchini Algeria

    (GMT+08:00) 2016-09-30 11:06:20

    Kikosi cha kupambana na ugaidi cha Algeria kimewaua waasi watano huko Tazoult mkoani Batna, 480 kilomita mashariki kusini mwa Algiers.

    Kwa sasa operesheni hiyo bado inaendelea ambapo kikosi hicho kimewanyang'anya baadhi ya silaha waasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako