• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China inapenda kushirikiana na Uingereza na Ufaransa ili kutekeleza kwa mafanikio mradi wa Hinkley Point

    (GMT+08:00) 2016-09-30 18:40:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bw Geng Shuang amesema China inapenda kushirikiana na Uingereza na Ufaransa kutekeleza kwa mafanikio mradi wa kinu cha kuzalisha umeme kwa nishati ya nyuklia cha Hinkley Point na miradi mingine inayofuata.

    Bw. Geng amesema hayo baada ya nchi hizo mbili kusaini makubaliano kuhusu mradi wa Hinkley Point jana mjini London. Amesema mradi huo ni mafanikio muhimu yaliyopatikana katika ushirikiano wa kunufaishana kati ya China, Uingereza na Ufaransa. Na China inapongeza kusainiwa kwa makubaliano hayo na kuona yanalingana na maslahi ya pande zote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako